Forever Bride (Aloe Propolis Creme)
Inasaidia wanaume kwa:
- Maupele na vishimo baada ya kunyoa: Inazuia maambukizi, kutuliza, na kulainisha ngozi.
- Ngozi kavu: Hurejesha unyevu na kuifanya laini.
- Makovu na madoa: Hufifisha alama za vipele na makovu.
- Ngozi nyeti: Inatibu mzio na kuwasha.
Matumizi: Paka mara 2 kwa siku, hasa baada ya kunyoa.